habari za leo ndugu msomaji wa blog hii,Naamini umeanza mwaka salama .Mwishoni mWa mwaka jana nilisema nitaanza kutoa elimu kuhusu somo la Hisa.lakini kutokana na mwezi january kuwa na majukumu mengi nikashindwa,naomba radhi elimu hio nitaanza kuitoa mwishoni mwa wiki hii.
wako faraja mmasa