![]() |
Picha hii inamwonyesha binti mdogo wa kisudani akiwa ananyemelewa na ndege mla nyama aina ya tai. |
Binti huyu alianguka njianibaada ya kushindwa
kuhimili njaa kali iliyokiwa imembana na alikuwa akielekea katika kituo cha
msaada wa chakula.Tai huyo mla nyama za
viumbe hai alimla mtoto huyo na ndio ukawa
mwisho wa uhai wake uliomkuta akiwa njiani kuelekea kuokoa uhai wake.
Picha hii ilipigwa namwandishi wa habari
aitwaye Kevin Carter na Kwa mara ya kwanza ilichapishwa kwenye
gazeti tarehe 26 Marchmwaka 1993. Pia na
kupitia picha hii Carter alishinda tuzo ya Pulitzer Prize mwaka 1994. Miezi
michache baada ya kuchukua zawadi ya Pulitzer, Carter alikutwa akiwa amejiua
kwa
kuumia kwa kitendo chakinyama alichokifanya
nawatu wengi nchini Afrika yakusini walimlaumu kwa picha hiyo.
Carter alikimbilia kuichukuapicha na kusahau
kuwapamoja na yeye kuwamwanahabari lakini pia
alikiwa na jukumu la kuokoauhai wa binti huyu
namwishoni kuacha mtoto aliwe huku yeye akishuhudia
Ndugu zangu, pamoja na kazi zetu tufanyazo
tunatakiwa kufikia kipindi na kuwa na roho za utu na kuheshimu na kuwapenda
binadamu wenzetu.
Kila unyama mtu unaoufanya sasa kwa binadamu
mwenzako kumbuka mateso yake ni kukosa amani na mwishowe hata kujikuta ukiyachukua
maamuzi kama ya Carter.
Hebu kumbuka katika maisha yako umefanya
mangapi kwa makusudi na kuhatarisha maisha ya mwenzako?
Je unatambua kuwa kilabinadamu ana haki ya
kuishina wewe ukiwa mmoja wapo
na kusaidia mwenzako aishi?Mungu atupe mioyo
yaupendo na kuwajali wenzetu
tukiamini ya kuwa tunafuraha hivi kwa kuwa
tunawaona binadamu wenzetu na kama wasipokuwepo kuna uwezekano mkubwa wa kuwa
maisha yetu hayana maana.
0 comments:
Post a Comment