Habari ndugu wasomaji wa BLOG hii, samahani kwa kutokuwa hewani muda mrefu, nafahamu blog hii inawasaidia watu wengi mno katika mambo mambo mbalimbali, pamoja na kutokuandika kitu chochote kwa zaidi ya miaka MITANO (5) sasa lakini katika muda wote huo nimeendelea kupokea simu na msg mbalimbali za watu kuomba ushauri katika mambo mbalimbali. Nilikuwa...
Sunday, August 23, 2020
Monday, April 27, 2015
KABILIANA NA CHANGAMOTO KATIKA MAISHA,USIKATE TAMAA

KUNA wakati maisha yako yanaporomoka kutokana na kupatwa na misukosuko ya maisha kama vile kufiwa na mke, mume au mtoto wako, kusalitiwa na marafiki uliowategemea maishani mwako, kukimbiwa na mke au mume wako, kufilisika, kupoteza kazi uliyokuwa ukiitegemea, au daktari...
Saturday, March 28, 2015
Kiri Kosa, Jifunze, Jipe Nafasi Ya Kuanza Upya.
Katika
safari ya maisha, ni jambo la kawaida kabisa kukutana na vikwazo vinavyoweza
kukatisha tamaa. Ukubwa wa vikwazo au changamoto hizo, zinaweza kukusababishia
ukaiona dunia kama imegeuka, au wakati mwingine ukatamani ipasuke uingie ndani
yake.
Yapo mambo
mengi yanayoweza kukufanya ufikirie hivyo. Huenda yakawa ni makosa ya
kibinadamu,...
Thursday, October 16, 2014
hi!
Nimewamisi sana,very soon nitaanza kuandika tena makala mbalimbali,muda umekuwa ni kikwazo kikubwa.Mbarikiwe wapendwa,mungu awabariki katika kila mfanyanyo na mpangacho .
Ahsanteni kwa kuendelea kusoma Blog hi...
Wednesday, May 7, 2014
NAMNA YA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA
Mpango wa biashara unasaida kufanya
uamuzi mbalimbali kusuhusu mwenendo mzima wa biashara, kupima mwelekeo na
ukuaji wa biashara.
Mchanganuo wa biashara ni andiko
linalofafanua namna biashara inavyoweza kuanzishwa au kuendelezwa. Kitaalam,
unatakiwa uwe na mpango...
24 Things To Always Remember
Your
presence is a present to the world.
You
are unique and one of a kind.
Your
life can be what you want it to be.
Take
the days just one at a time.
Count
your blessings, not your troubles.
You
will make it through whatever comes along.
Within
you are so many answers.
Understand,
have courage, be stron...
Friday, May 2, 2014
JINSI YA KUISHI NA WATU
Habari za leo mfuatiaji wa blog hii.Naomba angalia video hii nahakika itakufundisha kitu kikubwa katika maisha yako.
Wako Faraja Mm...
Thursday, May 1, 2014
MBINU ZA KUONGEZA MAUZO KATIKA BIASHARA YAKO.
.jpg)
Karibu katika blog hii ,natumaini u mzima wa afya njema maana
mungu wetu anaendelea kutupigania.Leo
nilitaka kuongelea mada hii ya kuongeza mauzo katika biashara,kama tunavyojua
moyo wa biashara ni mauzo,kama hakuna mauzo basi hakuna biashara.Kabla sijaanza
kulielezea...
MBINU ZA KUPUNGUA UZITO
.jpg)
Inaonekana
kuwa watu wengi hatujui ni kiasi gani cha kalori za chakula tunachotakiwa kula
kwa siku. Kuna umuhimu mkubwa kufahamu kuwa, tunatakiwa kula kiasi cha kalori
sawa na kalori zinazotumiwa na miili yetu ili kudhibiti uzito na kujiepusha na
unene.
Hata
hivyo...
Monday, April 28, 2014
NJIA YA KUWEKA AKIBA NA KUONGEZA MTAJI KATIKA BIASHARA YAKO
Moja ya nguzo za mafanikio ya wajasiriamali ni
elimu, ikwemo ya kuwaongezea upeo wa kutafuta mitaji.
Ni ijumaa nyingine tunapokutana tena katika
kona hii ya mjasiriamali, hii ni kona ambayo maudhui yake ni kuona namna bora
ambazo wajasiriamali wanaweza kuzitumia ili kuanzisha na baadae kuendeleza
biashara zao na kupata mafanikio wanayotamani.
Makala...
MAMBO KUMI YA MSINGI YA KUFUATILIA UNAPOKUWA UNAJIANDAA NA MITIHANI
.jpg)
Habari za leo mfuatiliaji wa blog hii
ya Faraja Mmasa Blog, natuamini ni mzima wa afya njema maana mungu wetu mpendwa
anatupigania kila sekunde.Asante kwa kuwa mfuatiliaji wa mara kwa mara wa blog
hii lakini pia nikupongeze kwa kuwa mfuatiaji wa mara kwa mara kwa kuwa...
Friday, April 25, 2014
NI MUHIMU KUZINGATIA UTUNZAJI WA VIFARANGA

Vifaranga wanapotunzwa vizuri kama hawa hukua vizuri na kuwa
kuku wenye afya
Kwa karne na miaka mingi, ufugaji wa kuku imekuwa ni kazi muhimu
na inayokubalika katika jamii nyingi. Ni kazi isiyohitaji gharama kubwa sana,
ambayo imekuwa na mafanikio kwa kiasi kikubwa kwa...