Na jambo moja tu la kuwashirikisha kuhusu mafanikio ya semina zangu nilizozifanya mkoani mororgoro mashuleni na makanisani...Semina zilikuwa zinawahusu wanafunzi wa form four ,nilizifanya katika shule mbili Sekwao na Giro Secondary na ya Sekwao Secondray zilifanyika kwa mafanikio makubwa na nimepokea simu nyingi kutoka kwa wanafunzi wakinishukuru kwa yale niliyokuwa nawafundisha yamewasaidia sana katika mitihini yao hii waliyoifanya na mimi nasema ahsanteni sana.
nikiseminisha |
shule yoyote huwa haikosi masela,masela nao walikuwepo..washikaji |
mwisho wa semina..pamoja sana tutakutana mkiwa advance |
kama kawaida kanisani watu lazima wamsifu bwana,tukicheza utamu wa yesu ya rose mhando |
Pia nilifanya semina katika kanisa la anglicana ,semina iliyohusu namna ya kumkuza mtoto kiroho,semina ilifanyika kwa mafanikio makubwa wazazi pia wamekuwa wakiniomba nikipata muda nikafanye semina nyingine tena maana walibarikiwa sana,ninawahaidi nitafanya hivyo pale nitakapopata muda
semina katika kanisa la anglicana |
Big up kaka, mwanzo mzuri sana. Ila ningependa kutoa ushauri kuhusu proof reading kabla haujapost kwenye blog, sababu kuna maneno kama mawili hivi umekosea kutype mfano ni faya badala ya afya. Maybe ulikuwa una haraka bt all in all tuko pamoja na movement yako imenivutia sana, big up bro.
ReplyDeletethank kenny kagashe,kwa ushauri
ReplyDelete