Sunday, July 21, 2013

NJIA ZA KUPATA MTAJI WA BIASHARA

Njia za kupata Mtaji wa biashara: Baada ya kuamua kuingia katika ujasiriamali, sasa unahitaji mtaji wakufanyia na kukuzia biashara yak. Swali, wapi utapata huo mtaji nk. Mlolongo huu hapa chini utakusaidia kujua ni wapi utapata huo mtaji wa biashara.
  1. 1.     Mali binafsi

Shamba, fedha, nyumba, gari, mifugo, mazao nk
    2.        Mkopo:-
Mkopo kutoka kwa:
Marafiki, ndugu, jamaa, serikali
Taasisi za kukopesha kama pride, seda, faida, best, finca
Benki nk.
a.         Masharti ya mkopo
-          Dhamana kama vile nyumba, arthi, mazao, kikundi n.k.
-          Mchanganuo wa biashara
-          Biashara inayo endelea(<miaka 3)
-          Kuwepo kwa ofisi kama ni mkopo mkubwa zaidi ya milioni 3
-          Biashara iliyosajiliwa kam ni biashara kubwa
-          Riba ya mkopo
-          Kiasi cha mkopo na uwezo wa mkopo
b.         Muda wa kurudisha mkopo na riba
Vyanzo vya kukopa mabenki, mashirika binafsi Kama vile SEDA, PRIDE, FINCA n.k

Kibati ; mfano, Mtaji ni unaotakiwa ni ni Tshs100,000 watu 10 mnaweza kuzungusha 10,000 miongoni mwenu kila mwezi, kila mtu atapata mtaji wa Tshs100,000 ndani ya mwaka.
SACCOS( chama cha kuweka na kukopa)
Kudunduliza ( banki ya kopo). Mfano; Mtu moja aliyekuwa mlevi alikuwa akitumia Tshs 5,000 kila siku kunywa pombe. Alikata shauri ya kuacha pombe na kudunduliza Tshs 5,000 kila siku kwa muda wa mwaka 1 na akaweza kujenga nyumba ya kisasa yenye vyumba 2 na sebule.
  1. ·        Kuafanya harambee (fund raising)

  • ·        Kuuza hisa


Msaada kutoka mashirika yasiyo ya kiserkali, watu binafsi, mashirika binafsi na taasisi za kiraia

Source kivuyo
Share:

3 comments:

  1. Unatafuta kampuni halisi ya mkopo wa kifedha kupata mkopo wa euro 10,000 hadi euro 10,000,000 (kwa mikopo ya kibiashara au biashara, mikopo ya kibinafsi, mikopo ya kibinafsi, mikopo ya rehani, mikopo ya gari, mikopo ya ujumuishaji wa deni, mikopo ya mtaji wa biashara, mikopo ya afya nk. ))
    Au ananyimwa mkopo kutoka benki au taasisi ya kifedha kwa sababu yoyote?
    Omba sasa na upate mkopo halisi wa kifedha. Kusindika na kupitishwa kwa siku 3.
    KIWANGO CHA MKOPO WA KALAMU Sisi ni wakopeshaji wa mkopo wa kimataifa ambao hutoa kifedha halisi kwa watu binafsi na kampuni kwa kiwango cha chini cha riba ya 2% na kitambulisho halali au pasipoti ya kimataifa ya nchi yako kwa uthibitisho. Malipo ya mikopo huanzia mwaka 1 (moja) baada ya mkopo unapokelewa na kipindi cha ulipaji ni miaka 3 hadi 35.

    Kwa jibu la haraka na mchakato wa ombi lako la mpaka ndani ya siku 2 za kazi
    Wasiliana nasi moja kwa moja kupitia barua hii: penfedloanfirm@gmail.com

    Wasiliana nasi na habari ifuatayo:

    Jina kamili: ____________________________
    Kiasi cha pesa kinachohitajika kama mkopo: ________________
    Muda wa mkopo: _________________________
    Kusudi la mkopo: ______________________
    Siku ya kuzaliwa: ___________________________
    Jinsia: _______________________________
    Hali ya Ndoa: __________________________
    Anwani ya mawasiliano: _______________________
    Nambari ya Jiji / ZIP: __________________________
    Nchi: _______________________________
    Kazi: ____________________________
    Simu ya rununu: __________________________

    Tuma ombi lako kwa jibu la haraka kwa: penfedloanfirm@gmail.com
    asante

    Afisa Mtendaji Mkuu: Pen Fed

    ReplyDelete
  2. I live in UK London and i am a happy woman today? and i
    told my self that any lender that rescue my
    family from our poor situation, i will refer
    any person that is looking for loan to him,
    he gave me happiness to me and my family, i
    was in need of a loan of $250,000.00 to
    start my life all over as i am a single
    mother with 3 kids I met this honest and GOD
    fearing man loan lender that help me with a
    loan of $250,000.00 U.S. Dollar, he is a GOD
    fearing man, if you are in need of loan and
    you will pay back the loan please contact
    Mr. Anthony Mitchell
    via EMAIL : applicantonline3@gmail.com

    ReplyDelete
  3. Get $2,000 USD everyday for 2 Yeras. Contact for more info email: ( darkwebonlinehackers@gmail.com ) or WhatsApp number : ( +18033921735 )

    ReplyDelete

KUHUSU MMILIKI WA BLOG HII

My photo
Naitwa faraja Mmasa a.k.a Moa,Mkazi na mzaliwa wa Wilaya ya Gairo Morogoro.KARIBU KATIKA BLOG hii tuelimishane mambo mbalimbali.Inatupasa kuwa na ufahamu wa mambo mbalimbali ili tuweze kuyatawala Mazingira yetu .Kuwa na Mwanasheria au Mhasibu haimanishi unatikiwa kujua au kufuatilia maswala ya uhasibu na sheria tu.Mfano nyumba yako au ndoa yako hutaindesha kwa taaluma uliyonayo.Vile vile huwezi kuendesha ujasiliamali kwa mafanikio kwa shahada yako ya uhandisi.TUNAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA

UJUMBE WA LEO

MIUJIZA MINGI INAYOTOKEA KATIKA MAISHA IPO KATIKA MAWAZO,FIKRA,NA IMANI ALIYONAYO MWANADAMU HUSIKA

USIKOSE KIPINDI HOT JIJINI POWER CLUB ,SIBUKA REDIO 94.5 KILA SIKU SAA SABA MPAKA SAA KUMI

USIKOSE KIPINDI HOT JIJINI POWER CLUB ,SIBUKA REDIO 94.5 KILA SIKU SAA SABA MPAKA SAA KUMI

GAR AD2

GAR AD2

GARI ADVERT

GARI ADVERT

Castrol

Castrol
Powered by Blogger.