Huu
ni ugonjwa ambao unasababishwa na kongosho kushindwa kuzalisha insulini au
mwili kushindwa kutumia insulini ambayo inazalishwa ktk kongosho,Sukari
(glucose) ikiingia ktk mwili kama ikizidi kongosho huzalisha glucgone homoni
ambayo hutumika kubadilisha glucose kwenda kwenye glycogen ambayo inahifadhiwa
kwenye misuli,kama mwili ukifikia kuwa hauna sukari ya kutosha glucagon
huibadilisha glycogen kuwa glucose na kutumika ktkt mwili kwa hiyo kama
kongosho ikishindwa kuzalisha glucagon hapa ndipo chanzo cha sukari ya kushuka
huanza na mtu kuugua kisukari cha kushuka.Kwasababu cell za mwili huanza
kushambuliwa.
AINA ZA KISUKARI
Kuna
aina mbili za kisukari.
1.KISUKARI CHA KURITHI
Hichi
ni kisukari ambacho mtu hurithi kutoka kwa wazazi wake pindi tu
anapozaliwa,kutoka tumboni pindi tu ambapo mfumo wa utengenezaji wa mtoto
unapoanza.kisukari hichi kongosho halijitengenezei insulini ya kutosha.
2.AINA YA PILI NI KISUKARI AMBACHO SIO
CHA KURITHI
Hiki
ndio kisukari ambacho kinatusumbua wengi kwa sasa ktk familia zetu,jirani zetu
na dunia kwa ujumla.kisukari hichi kinasemekekana hadi 2030 asilimia hamsini ya
watu duniani watakuwa wanakufa na kisukari,hii husababishwa na ina ya maisha
tunayoishi,vyakula vya kemikali tunavyokula na ukosefu wa kufanya
mazoezi.Takwimu inaonyesha kuwa watu 347 millioni duniani wanakisukari,
VINAVYOSABABISHA KISUKARI
1.Kongosho
kutofanya kazi vizuri au kutofanya kazi kabisa
2.Kula
vyakula vyenye sukari nyingi
3.Kutofanya
mazoezi
4.Kurithi
kutoka kwenye ukoo
5.Matatizo
ya figo na presha ya kupanda
6.Uzito
kupita kiasi
ATHARI ZA UGONJWA WA KISUKARI
1.Kupungua
uwezo wa kuona
2.Kupungua
nguvu za kiume
3.Presha
ya kupanda
4.Kutopona
vidonda haraka
UNAWEZA KUKAA MWENYE AFYA HATA KAMA
MWENYE KISUKARI
1.Kula
kwa afya
2.Fanya
mazoezi
3.Tumia
dawa ipasavyo
4.Angalia
sukari yako mara kwa mara
5.Linda
presha yako kila mara
6.Usivute
sigara
DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI
1.Uchovu
mara kwa mara
2.Kukojoa
mara kwa mara
3.Kupungua
uzito
4.Kuhisi
kiumara kwa mara
5.Kupungua
uwezo wa tendo la ndoa
6.Maumivu
miguuni.
Watu
wengi wamekubali kuwa kisukari hakitibiki lakini kisukari kinatibika lakini
tatizo watu wengu tunapenda kutumia saana dawa zenye kemikali ndo maana
kisukari kinakuwa hakitibiki,lakini pia watu wanatibiwa kisukari hali ya kuwa
seli za miili yao bado haziko vizuri kwa hiyo wanapopewa dawa hazifanyi kazi
ipasavyo,kwa hiyo ni vyema upewe dawa zenye kutengeneza seli zako za mwili
vizuri halafu utumie dawa zisizokuwa na kemikali nakuhakikishia utapona
kisukari na utarudi kama zamaini.
Kama unatatizo hilo waweza wasiliana
na 0658494977 kwa ushauri na tiba
0 comments:
Post a Comment