NAJUA UNATAMANI SIKU MOJA MKEO KIPENZI AJE KUPIKIA KWENYE MOJA YA MAJIKO HAYA?
BAADAE UNGEPENDA UKAE NA FAMILIA YAKONAKULA
CHAKULA KATIKA MOJA YA DINING TABLES HIZI?
MI IPO SIKU NITAFANYIA KAZI ZANGU ZA BLOG KATIKA ENEO KAMA HILI |
BAADA YA MSOSI UTAJISIKIA VIPI UKIWA NA MKEO KIPENZI NA FAMILIA YOTE MKIANGALIA TAARIFA YA HABARI KATIKA SEBULE HIZI?
HALAFU UNAMALIZIA SIKU KWA KUPUMZIKA NA UMEMPANDAYE KATIKA MOJA YA VYUMBA HIVI?
KAMA TAYARI UMESHAFANIKIWA KUMILIKA NYUMBA YENYE FENICHA KAMA HIZI HONGERA SANA,LAKINI KAMA BADO USIJALI,NI KUJIPANGA TU,NA KUJITUMA,KUJIAMINI,KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MALENGO,HAKUNA LINALOSHINDIKANA CHINI YA JUA PALE MWANADAMU ANAPOAMUA KUTIMIZA LILE LILIYOMO NDANI YA UBONGO WAKE,PIGANA MWANZO MWISHO MAISHA NDIO HAYA HAYA
Bidhaa zenu zipo vzr
ReplyDelete