Siku moja mtu mmoja alimuuliza Buddha,” kwanini mimi ni maskini
sana?”
Buddha akamjibu “ kwasababu
hujajifunza kutoa”
Yule mtu akamjibu” mimi maskini sina kitu chochote cha kutoa
msaada?”
Buddha akamjibu “ unavyo vitu vichache vya kutoa”
Uso: ambao unaweza kumpa mtu tabasamu
Mdomo; kwa ajili ya kuwapa
watu maneno ya kuwafariji
Moyo :kuwa mwema kwa watu kwa kuwaonyesha upendo
Macho:kuwaangalia watu kwa uzuri
Mwili:ambao unaweza kuutumia kusaidia wengine
Buddha mwisho akamwambia hakuna mwanadamu aliye maskini kabisa
akakosa kuwasaidia wengine “poverty of spirit is the real poverty”
0 comments:
Post a Comment