Friday, December 20, 2013
Home »
» FARAJA MMASA BLOG SASA INAKUPA FURSA YA KUONGEZA KIPATO CHAKO
FARAJA MMASA BLOG SASA INAKUPA FURSA YA KUONGEZA KIPATO CHAKO
kutokana na
maombi mengi ya wasomaji kutaka kujua kuhusu HISA..kuanzia jumatatu
nitaanza kutoa elimu ya HISA NA SOKO LA HISA KWA UJUMLA,FAIDA YA
HISA,CHANGAMOTO,UTARATIBU KUUZA NA KUNUNUA,MAANA YA UWEKEZAJI,MISINGI YA
UWEKEZAJI,KANUNI YA UWEKEZAJI,VIGEZO VYA KUZINGATIKA KABLA YA KUUZA
HISA... Hisa ni rasilimali,hisa ni mali,hisa ni kitega uchumi,hisa ni
hatimiliki ya kampuni,hisa ni biashara,hisa ni dhamana kukuwezesha
kupata mkopo,hisa ni akiba,hisa ni mtaji,hisa huchagua viongozi wa
makampuni,kumiliki na faida kupitia makampuni.HISA SIO KIPANDE CHA
KARATASI BALI NI HAZINA...usikose elimu hii kupitia FARAJA MMASA BLOG
0 comments:
Post a Comment